PICHA :TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU LILILOANDALIWA NA KUNDI LA VocaPELLA
Kundi la Nyimbo za Injili toka katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Temeke jijini Dar es salaam linaloundwa na waimbaji waimbaji wanne la VocaPELLA (Pichani Juu) Oktoba 24,2014 walifanya tamasha la kusifu na kuabudi,tamasha lililofanyika kanisani hapo na kuhudhuriwa na waimbaji mbalimbali.
Leah Mudy akiimba baada ya hivi karibuni kuamua kurudi katika uimbaji wa nyimbo za Injili
Haika Mbaga
Family Singers
Kundi la Watoto wa MUNGU
Haroun akipiga gitaa
Leah Mudy akiimba baada ya hivi karibuni kuamua kurudi katika uimbaji wa nyimbo za Injili
Haika Mbaga
Family Singers
Kundi la Watoto wa MUNGU
Haroun akipiga gitaa
Post a Comment