MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM:WAADVENTISTA WA SABATO TANZANIA WAJIANDAA NA UJIO WA KIONGOZI MKUU WA KANISA HILO DUNIANI FEBRUARI 2015


 


Maandalizi ya mkutano wa Extravaganza wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Union Mission ya Kusini mwa Tanzania utakaofanyika Februari  2015 yameanza katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Ilala.Mgeni rasmi katika mkutano huo ambao utahusisha wageni toka nchi 11 katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ni Kiongozi wa Kanisa hilo Duniani Mch Teddy Wilson toka Marekani.

 Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Confrence ya mashariki mwa Tanzania Mch. Mark W. Malekana, Mch. Magulilo Mwakalonge Mwenyekiti wa Union Mission ya Kusini mwa Tanzania, Mr. Jack Manongi aliyesimama ni Mhazini wa Union Mission ya Kusini mwa Tanzania na Mch. Robson Nkoko Mkurugenzi idara ya mawasiliano Union Mission ya kusini mwa Tanzania.
(Na Manase Rusaka-Morning Star Radio)


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.