PICHA:GEORGE GACHU AFUNGA NDOA JIJINI DAR,HUKO RWANDA MWIMBAJI WA AMBASSADORS OF CHRIST AFUNGA NDOA
Mwimbaji wa nyimbo za Injili na Mwalimu wa Kwaya George Gachu akiwa na mkewe baada ya kufunga ndoa julai 20,2014 katika kanisa la Waadventista Wa Sabato Mbezi Luis jijini Dar es salaam |
Mwimbaji wa Ambassadors Of Christ Furaha Sandrine akiwa na mumewe Tony Ngabo Karangwa baada ya kufunga ndoa katika katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Rubavu Gisenyi Rwanda julai 7,2014 |
Post a Comment