DAR ES SALAAM:PICHA ZA HITIMISHO LA MAKAMBI YA MTAA WA MWENGE WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO
Mchungaji Mstaafu na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Union Mission ya Tanzania Mchugaji Kajura naye alikuwepo,nyuma yake ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma wa Union Mission ya Kusini mwa Tanzania Mch Steven Leta
Mchugaji Michael Twakaniki toka Dodoma alikuwa miongoni mwa wahudumu kwenye makambi |
Waimbaji wa Ujasiri toka Dodoma wakiimba |
Acacia Singers nao waliimba |
Makambi ya Mtaa Mwenge katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mwenge yamehitimishwa julai 19,2014. (Picha zote na May Esau Ibogo)
Post a Comment