RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIPOKUTANA NA BAADHI YA MARAIS WASTAAFU WA AFRIKA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Marais Wastaafu Mhe. Olesegun Obasanjo (Nigeria), Festus Mogae (Botswana), Mzee Benjamin William Mkapa, na (walioketi kulia kwa Rais) Mhe. Pedro Pires (Cape Verde), Mhe. Thabo Mbeki (Afrika Kusini), Mhe Joachim Chisano (Msumbiji) na Rais wa Benki ya Afrika, Dkt Donald Kaberuka. (picha: IKULU) |
Post a Comment