MTANGAZAJI

PICHA ZA KWAYA ZILIZOIMBA KWENYE MAKAMBI YA MBAGALA

Photo: MBAGALA   S.D.A   KWAYA,   WAKIIMBA   KTK   MKUTANO   WA    MAKAMBI,   AMBAO  MHUBIRI   MKUU   ALIKUWA  :   PASTOR    LOMAY
Mbagala SDA Choir wakiimba
Photo: KIBURUGWA   S.D.A,   KWAYA,  WAKIWA   STEJINI,   KTK   MKUTANO  WA   MAKAMBI,   MTAA  WA  MBAGALA
Kiburugwa SDA Choir
Photo: MBAGALA   S.D.A  CHOIR   VIJANA,      wakiimba ktk  MKUTANO   WA  MAKAMBI      MTAA   WA  MBAGALA,   >>MNENAJI MKUU   ALIKUWA,   PASTOR >> LOMAY<<     WITO   NA   FUNGU   KUU    VIKIWA :
 >>  ANATAFUTWA  MTU   MMOJA   MWAMINIFU,=Yeremia  5:1
Kwaya ya Vijana Mbagala
Photo: MASS  CHOIR    YA    WATOTO    TAKLIBANI   100,     WAKIIMBA,
KTK    MKUTANO   WA   MAKAMBI,    MTAA   WA   MBAGALA   S.D.A,
>>   ILIKUWA   FURAHA   TELE,   NA   MGUSO  WA  MOYO
Watoto nao walikuwepo-Picha zote kutoka wasifu wa Facebook wa
Joel Majumbi

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.