MTANGAZAJI

KIJANA CHANGAMKIA UFADHILI WA KOZI ZA UFUNDI VETA


Help for Underserved Communities Inc. (HUC) ni shirika lisilo la kiserikali lenye makazi yake nchini Marekani. 

Linatangaza nafasi za 10 za kozi za ufundi za awali zinazotolewa VETA, UDEREVA WA BODABODA/PIKIPIKI, SALUNI, UFUNDI MAGARI, UJENZI, USHONAJI NA NYINGINEZO zitakazoanza Octoba 2013.

Fomu imeambatanishwa. Printi, ijaze kisha tutumie: kijasti@hotmail.com au Info@myHUC.org kabla ya tarehe 15 Septemba. Chagua moja ya kozi kama zinavyoonekana kwenye fomu ya maombi. Tunasisitiza kuwa mwombaji awe hana uwezo kabisa wa kujilipia na tayari ameanza kujishughulisha na kazi anayotaka kuisomea.

Pia unaweza kutuma kwa;

Help for Underserved Communities Inc,
P. O Box 7022,
Dar es Salaam.

Kwa maelezo zaidi kuhusu ufadhili na HUC, ingia:

Imetolewa na 
Nathan Mpangala,
Meneja wa Mitandao jamii, HUC
Waweza kupakua fomu za maombi hapa;

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.