WANAFUNZI WA TAMBAZA NA ZANAKI WASHIRIKI KUTOA MAONI YA RASIMU YA KATIBA YA TANZANIA
Wanafunzi walioshiriki utoaji wa Maoni ya Rasimu ya Katiba wakiwa na nakala za rasimu |
Wanafunzi wakisoma Rasimu ya Katiba |
Wanafunzi
wapatao 250 wa Shule za Sekondari za Tambaza na Zanaki za jijini Dar es salaam wameshiriki katika utoaji wa maoni ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katika Baraza hilo la kitaasisi linalosimamiwa na taasisi ya National
Civic and Debate Conference (NCDC) wameamua kukusanya maoni hayo kutoka kwa
wanafunzi kwani ndiyo taifa la sasa na baadaye na mawazo yao yana msingi
mkubwa katika kupata katiba ambayo itakubalika na vijana (ambao siku za
mbeleni) kwa ambao wanapaswa kushirikishwa moja kwa moja katika mchakato wa
kuipata.
Alibainisha Mkurugenzi Mtendaji wa NCDC Bw. Jonathan N. Mnyela amesema Agosti 30,2013 kutakuwa na Baraza la Ktaasisi litakalofanyika shule ya sekondari ya Jangwani kwa kuratibiwa na taasis hiyo
Post a Comment