1 comment
-
-
Mbarikiwe sana kwa arubamu hii. Naamini Mungu ataleta uponyaji wa kimoyo, kiakili na kihisia wa wasikilizaji. Nimevutwa sana pia na jinsi picha yenu inavoonyesha kusimama kwenu kwa ujasiri. Hii ni kuonyesha kuwa mnajua mnachokitangaza. Tubarikiwe sisi sote Nyinyi na mimi.
Amin. - February 11, 2012 at 9:48 AM
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment