MTANGAZAJI

JOHN NGAHYOMA AFARIKI DUNIA

Tumepata taarifa kwamba Mwandishi wa Habari mkongwe nchini ambaye alikuwa akifanya kazi na Shirika la Habari la Uingereza (BBC), John Ngahyoma amefariki dunia leo asubuhi.
 
Msiba uko nyumbani kwa marehemu Tabata, karibu na nyumbani kwa Marehemu Danny Mwakiteleko.
 
Tunaitakia moyo wa subira na Mungu awafariji wanafamilia wa Ngahyoma katika kipindi hiki cha majonzi ya kuondokewa na mpendwa wao.
 
RIP John Ngahyoma, umetangulia na wengine tutafuata.

Neville C. Meena,
Secretary General,
Tanzania Editors' Forum (TEF),
Dar es Salaam -Tanzania.
         +255 - 787 - 675555

1 comment

Anonymous said...

Rest in Peace Uncle John!

Mtazamo News . Powered by Blogger.