LEO NI TAREHE 7 JULAI SIKU ALIYOZALIWA MTANGAZAJI
Namshukuru sana Mungu kwa kuniwezesha kuifikia tena siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwangu,BWANA apewe sifa kwa kuendelea kunipa uhai na kuendelea kuifurahia kazi ya utangazaji hapa Morning Star Radio 105.3 FM -Dar es salaam,Tanzania asanteni sana kwa wasikilizaji,ndugu marafiki kwa kuiunga mkono blog hii.
Mtangazaji Maduhu
Post a Comment