Kiungo wa Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania U23, Kigi Makasi, akibinjuka sarakasi kushangilia bao la kwanza aliloifungia timu yake dhidi Cameroon. (picha na : Muhidin Sufiani)Tanzania imeifunga Cameroon katika mechi ya U23 iliyochezwa hii leo. Dakika 90 za kawaida zilipomalizika, mabao yalikuwa Tanzania 2 Cameroon 1. Zikaongezwa dk. 30 ambazo hazikubadili matokeo. Ikaamuliwa kupiga penati, Tanzania ikapiga 5 na kufunga 4 wakati Cameroon wakafunga 3 tu. |
Post a Comment