Waimbaji wa nyimbo za Injili Marion Shako toka Kenya (kushoto),Miriam Mauki toka Tanzania(katikati) na rafiki yao wakiwa ndani ya Morning Star Radio baada ya mahojiano kwenye kipindi cha Lulu za Injili hii leo
Mtangazaji akiwa na waimbaji hao ambapo kesho watakuwa wakiimba kwenye Tamasha la Uzinduzi wa DVD ya Miriam Mauki utaofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia saa 8 mchana
Post a Comment