MTANGAZAJI

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA HUKO MOROGORO BAADA YA MGOMO WA DALADALA JANA

ASKARI AKIMPANDISHA MWANAFUNZI KWENYE GARI .
ASKARI WA USALAMA BARABARANI MANISPAA YA MOROGORO AKIWAANGALIA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI KATIKA MANISPAA HIYO WAKIWA NA MAGURUDUMU AMBAYO WALIKUWA WAKIZUIA MAGARI YASIPITE BARABARANI KWA MADAI YA MADEREVA WA MAGARI HAYO WAMESHINDWA KUWAPA LIFT YA KWENDA SHULE KATIKA MZUNGUKO WA MASIKA.

ASKARI WA JESHI LA POLISI WAKIWA NA KIJANA AMBAYE ALIKUWA ANATUHUMIWA KUHUSIKA KATIKA KUCHOCHEA VURUGU KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI STENDI KUU YA DALADALA MOROGORO. 

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA:JUMA MTANDA

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.