MTANGAZAJI

MAJAMBAZI WAVAMIA KISIWANI WAUA 10

Kunatukio la kusikitisha ambalo linaonyesha kuwa jeshi la polisimkoani Mwanza limeanza kuelemewa na matukio ya ujambazi.

Ni katika kisiwa kidogo cha Izinga wilayani Ukerewe majambaziwamevamia na kuua wananchi 10 huku wananchi wao wakiua majambazi 2 nawanachi wengine 17 wameacha kuwa majeruhi.

Tayari viongozi wa Kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Mwanzawakiongoza na mkuu wa mkoa ambaye ameshatangaza kugombea ubunge jimbola Kalenga kujionea uharibifu huo wa majambazi.Bado tunafuatilia habari zaidi kujua tukio hilo kwa kina.

Katulanda Frederick

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.