MTANGAZAJI

SUZUKI WAGON R+ INAUZWA

Gari aina ya Suzuki Wagon R+ (pichani) inauzwa iko jijini Dar es salaam,inatumia mafuta kidogo sawa na pikipiki bei maelewano kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Mch David Mmbaga kwa namba za simu +255 764 600 129 ama +255 713 57 8 910

2 comments

Anonymous said...

hahahahahaha kaka inatumia mafuta sawa na pikipiki hahahahaha uwiii, unajua pikipiki ya cc 150 ina 'mileage' ya 50 km, lakini hako ka-gari kakizidi sana ni 'mileage' ya 20 km

Anonymous said...

hahaha toa sababu kwa nini unaiuza au unataka kubambikiza wenzaku kitu feki...........nakutakia kila la kheri katika "biashara" yaki

Mtazamo News . Powered by Blogger.