MTANGAZAJI

TRAILER YA LOVELY GAMBLE YA KANUMBA

Mtayarishaji wa filamu toka Morogoro aliyeko Uingereza Frank Eyembe ametuma ujumbe ufuatao kuhusu picha mpya ya Kanumba iliyotengenezwa Uingereza

Vipi mambo mtangazaji?. Sasa nimekutumia Link kwenye Youtube ya trailer pia itapata kwenye facebook
http://www.youtube.com/watch?v=zNltrI096hU let me knw wot u think

siku njema Frank Eyembe
Executive Producer

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.