MTANGAZAJI

SHIMIWI YAPAMBA MOTO MOROGORO

Timu ya Kuvuta Kamba ya Waziri Mkuu wakivuta kamba dhidi ya wapinzani wao timu ya Elimu (hawapo pichani) wakati wa mchezo wa kuvuta kamba wanaume katika mashindano ya shirikisho la Michezo ya Idara za Serikali, Wizara na Ofisi za Wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) 2008/2009 na timu ya waziri mkuu iliibuka washindi



Mchezaji wa timu ya wizara ya Habari Rahabu Kibonda kushoto akitafuta namna ya kumtoka mchezaji wa RAS Arusha Ester Hingira wakatika mashindano ya shirikisho la Michezo ya Idara za Serikali, Wizara na Ofisi za Wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) 2008/2009 ambapo habari ilishinda kwa vikapu 27 kwa 15. (Picha na Juma Mtanda)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.