3 comments
- Joswam B buberwa said...
-
Duuuuuuuuuuuhh...... inaonyesha hii itakuwa bonge la movie. But kuna story zilizo zagaa mitaa mbalimbali ya jijini bongo na Tzee kwa ujumla kuwa mchizi alichemsha kuongea ug'enge alipo alikwa kwenye lijumba la kaka mkubwa nchini bondeni afrika nikweli mzee mbana sija hona blog hii ikithibitisha hili au akuna ukweli juu ya hili? tutoe dukuduku reporter wetu J4.
- September 18, 2009 at 6:01 AM
-
-
hii filamu haina mpango wowote walioshiriki hawana hata ujuzi katika movie ni jamaa tu wanaotaka kuonekana katika ulimwengu wa filamu lakini ni wabongo wanaoishi reading hawana hata ujuzi
- September 29, 2009 at 1:58 PM
- reseacher said...
-
I can hardly wait to see this film.I think the 'maker's' are one determined n passionate group,from the producer,director n actors.It is an exciting piece with a tremendous story-line.I would pass on so much courage and support to those who took time to make it.Nothin is easy to achieve especially when ur starting out but you strive n finnaly accomplish ur 'GOAL'.So from me,''YOU GO BOYS'' keep it up.
ps:One full of hatred never succeeds.The only way one can prove a hardworker wrong,is by workin harder than them,in ur own aswell.Otherwise,huuuuushh..pliz..lol..[sayin this,with love] - October 3, 2009 at 8:27 PM
Post a Comment