MTANGAZAJI

ULINZI SHIRIKISHI???


Mkuu wa Usalama barabarani mkoa wa Morogoro RTO, Ibrahim Mwamakula (aliyevaa miwani)akikokota pikipiki aina ya Honda 110 yenye namba ya usajili STJ 4872 wakati akiipeleka kituo kikuu cha polisi mjini hapa na mmiliki wa pikipiki hiyo baada ya kukamatwa eneo la stendi ya kuu ya daladala, haikuweza kufahamika mara moja sababu za kukamatwa kwa pikipiki hiyo.
(Picha na Juma Mtanda)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.