MTANGAZAJI

USICHOKIJUA KUHUSU LOVELY GAMBLE YA KANUMBA


Mwongozaji wa Lovely Gamble, Renny akiwa kazini na Kanumba
Baadhi ya mambo utayoyaona ndani ya Lovely Gamble




Frank Eyembe na Kanumba


Mtayarishaji wa filamu Frank Eyembe(kushoto) toka Morogoro akiwa na Mwigizaji maarufu wa filamu hapa nchini Kanumba huko Uingereza ambako filamu mpya ya Kanumba inayokwenda kwa jina la Lovely Gamble,filamu hii imetayarishwa na kuigizwa nchini Uingereza.

3 comments

Joswam B buberwa said...

Duuuuuuuuuuuhh...... inaonyesha hii itakuwa bonge la movie. But kuna story zilizo zagaa mitaa mbalimbali ya jijini bongo na Tzee kwa ujumla kuwa mchizi alichemsha kuongea ug'enge alipo alikwa kwenye lijumba la kaka mkubwa nchini bondeni afrika nikweli mzee mbana sija hona blog hii ikithibitisha hili au akuna ukweli juu ya hili? tutoe dukuduku reporter wetu J4.

Anonymous said...

hii filamu haina mpango wowote walioshiriki hawana hata ujuzi katika movie ni jamaa tu wanaotaka kuonekana katika ulimwengu wa filamu lakini ni wabongo wanaoishi reading hawana hata ujuzi

reseacher said...

I can hardly wait to see this film.I think the 'maker's' are one determined n passionate group,from the producer,director n actors.It is an exciting piece with a tremendous story-line.I would pass on so much courage and support to those who took time to make it.Nothin is easy to achieve especially when ur starting out but you strive n finnaly accomplish ur 'GOAL'.So from me,''YOU GO BOYS'' keep it up.

ps:One full of hatred never succeeds.The only way one can prove a hardworker wrong,is by workin harder than them,in ur own aswell.Otherwise,huuuuushh..pliz..lol..[sayin this,with love]

Mtazamo News . Powered by Blogger.