TRC NDO IMEKUWA KIDONDA NDUGU????
Hivi ni kweli kwamba huu mgogoro wa Shirika la Reli Tanzania serikali na wadau wanashindwa kuupatia ufumbuzi?? mbona kuna mambo mengi hapa nchini ambayo yana maslahi kwa wachache yanashughulikiwa kwa muda mfupi????Maana sasa TRC imekuwa ni kichefuchefu kusikia habari zake!!!!
Post a Comment