MPAKANJIA AFARIKI
Marehemu Mpakanjia na Amina Chifupa wakati wa uhai wao
Habari zilizoifikia blog hii kupitia Clouds FM cha jijini Dar es salaam jioni hii zinaeleza ya kwamba aliyekuwa mume wa Marehemu Amina Chifupa,mfanyabiashara maarufu nchini, Bwana Mohammed Mpakanjia aka`Meddy`amefariki leo alasiri katika hospitali ya Lugalo jijini Dar es salaam kutokana na ugonjwa wa preumonia.
Ama kweli maisha ni kama maua leo yachanua kesho yanyauka je wewe umejiweka tayali? Maana sisi wote ni marehemu watarajiwa.

Post a Comment