5 comments
-
-
Wow!!!! Hongera zake atlast.
- August 11, 2009 at 9:43 AM
-
-
mwanaume anaonekana mdogo sana, kamtoa wapi huyu mama mtu mzima?
- August 12, 2009 at 4:50 PM
-
-
Jamani nyie hapo juu... Shida yenu ni ipi? 1. wewe unaesema atlast, unamaanisha nini haswa??? 2. Anony wa pili, Hata kama mwanaume anaonekana mdogo kwako, shida yako ipi? kipi haswa kikusibucho? Wenyewe wamependana! (wako ulimtoa wapi?!? -that is if you at all even have one!!!) Na ninawasiwasi comments zote mbili ni za mtu mmoja. Kimekuuma sana?!? Loyce mwaya hongera saaana!!! Achana na wambea. Most important: Mtangulize Mungu in all that you do in your life & married life!
- August 18, 2009 at 4:59 PM
-
-
Wakuda hao,wanaponda bila hoja.Braza kaka endelea kupendeza na mkeo.
God bless U.
Mwanamasalia. - August 19, 2009 at 7:28 AM
-
-
hahhahahaha hongera sana, huyu dada nilimwona siku nyingi sana hivi anaishi wapi siku, ops mtasema ninamtakia nini mke wa ntu
- August 25, 2009 at 6:16 AM
Post a Comment