MATONYA BADO YUPO YUPO MOROGORO
Ombaomba maarufu nchini Mzee Anthon Matonya (61) akiwa ameshikilia chombo huku akiwaomba wasamalia wema wanaopita katika daraja la mto Morogoro waweze kumsaidia fedha kwa ajili ya kujikimu na hali ngumu ya maisha,Matonya amefanya makazi ya kudumu mjini Morogoro baada ya kutimuliwa na aliyekuwa mkoa wa Dar es Salaam Yusuph Makamba kwenye operesheni ya kuwaondoa ombaomba katika jiji hilo mwaka 2006.
Post a Comment