MTANGAZAJI

DR JOHN KISAKA(TULIA KWA YESU) AMEFARIKI

Habari zilizoifikia blog hii asubuhi ya leo zinaeleza kuwa Mchungaji,Dr John Kisaka(kushoto) amefariki dunia jana saa 1 jioni huko Nairobi Hospital,blog hii inatoa pole kwa wafiwa wote wakiwemo ndugu,jamaa na marafiki,pia tutaendelelea kuwafahamisha zaidi kuhusu msiba huu.

3 comments

Anonymous said...

May his soul R.I.P

Jr said...

pole kwa familia ya marehemu ndugu jamaa na marafiki

Anonymous said...

He is resting in Christ...our condolensces to the family and the church at large.

Mtazamo News . Powered by Blogger.