MTANGAZAJI

GARI LINAPOBISHA HODI NYUMBANI
Nyumba nyingi zimejengwa na zimeekuwa zikiendelea kujengwa kandokando ya barabara mara nyingi wakazi wa maeneo haya wamekuwa wakikumbana na masahahibu haya,Je ni kweli kwamba watu wanaojenga katika maeneo haya hawafahamu hili????

1 comment

Anonymous said...

Tatizo ni watu wanaohusika na mipango miji hawapo makini katika kugawa maeneo ya makazi

Mtazamo News . Powered by Blogger.