MTANGAZAJI

MTI WA KUNYONGA WATU-MWANZA
Mti ulioko mahali ambapo Wajerumani walitumia kuwanyonga mababu zetu wakati wa utawala wao ulioko katika barabara ya Nyerere huko jijini Mwanza,Hivi karibuni nilisikia kituo kimoja cha redio hapa nchini kikisema mti huo utakatwa.

1 comment

Anonymous said...

Asante sana kwa kutukumbusha historia ya wajerumani mti huo kama ungekuwa sehemu nzuri tofauti na barabarani ungetunzwa na ingekuwa ni moja ya kumbukumbu ya zama za kale

Mtazamo News . Powered by Blogger.