MTANGAZAJI

MLIMA ULUGURU

Mojawapo ya Milima mirefu Tanzania ni Mlima Urugulu hii ni picha ya asubuhi ya leo mlima huu unaonekana kurudia hali yake ya awali baada ya watu wanaoishi katika mlima huo kuacha kuchoma moto.

2 comments

Unknown said...

Emenikumbusha mbali mzee,enzi hizo nipo shule ya msingi Kiwanja cha ndege

Unknown said...

Ila nikurekebishe kidogo ni Uluguru na sio Urugulu mana mimi ni Mluguru najua vizuri Sekulu. Weka weka na zingine ili na sisi tulio nje ya Moro tukumbukege home

Mtazamo News . Powered by Blogger.