MTANGAZAJI

MINARA YA SIMU KATIKATI YA MAKAZI YA WATU

Tangu kuanzishwa kwa makampuni ya simu hapa nchini Tanzania nimekuwa nikishuhudia minara lukuki ikijengwa katikati ya makazi ya watu ila nilibahatika kwenda nchi mbalimbali miaka iliyopita sijawahi kuiona ikiwa katikati kama ilivyo hapa nyumbani,hapa ni mitaa ya forest hill mjini Morogoro wadau mnasemaje hapo? Kumekuwa na mijadala kuwa hii minara haina madhara kwa binadamu ama ni vipi?

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.