MTANGAZAJI

SEMINA ELEKEZI YA UNESCO

Hivi karibuni nilihudhuria kwenye semina elekezi ya UNESCO maeneo ya Slipway jijini Dar es salaam ambapo masuala ya haki miliki katika muziki yalizungumziwa kwa kina,hapa niko na baadhi ya wasanii maarufu hapa nchini akiwemo Banana Zoro(mwenye dred) na Mwanadada Enika Bukuku(t-shit nyeusi)
Niko na mdau mmoja wa UNESCO toka Uholanzi akinipa uzoefu wake kuhusiana na masuala ya muziki

Hapa ilibidi awe mpole kwa kumpa uelekezi katika masuala ya tekelinalokujia na muziki

1 comment

ombui said...

Da! Bwana... You are smart for the conference and I know you benefited bigtime technologically from the workshop... Keep it up

Mtazamo News . Powered by Blogger.