MTANGAZAJI

UONGOZI WA AWR TOKA MAREKANI NA UINGEREZA WATEMBELEA TANZANIA

Boss msaidizi wa AWR-Duniani Scott Greg toka Marekani wa kwanza kulia alipotembelea hapa Morogoro mwanzoni wa mwezi huu akiwa ameambatana na Boss mwingine ambaye kwa sasa ndo anakaimu Uboss wa AWR-Afrika Ray Allen toka Uingereza hapa wakiwa na timu nzima ya AWR-Tanzania

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.