MTANGAZAJI

LEMAREKA OLE KIBASISI NDANI YA UJERUMANI

Mmoja wa watayarishaji (PRODUCER) wa vipindi vya Radio ya Waadventista Ulimwenguni (AWR)kutoka Tanzania Lemareka Ole Kibasisi akiwa nchini Ujerumani kula nondo za shahada yake ya pili(Master) kwa muda wa miaka miwili."Yero Sobai Kijerumani kinapanda"????
Hapa akiwa na wanafunzi wenzake mbele ya jengo la bunge na serikali ya Ujerumani

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.