MTANGAZAJI

THE PILGRIMS-UINGEREZA
Kuindi la uimbaji wa nyimbo za injili wa aina ya Acappella lililoko nchini Uingereza ambalo linaundwa na waimbaji toka Tanzania.Kundi hili ni miongoni mwa makundi yanayosaidia sana kuuendeleza Acappella huko Uingereza, kutoka kushoto ni Jack,Singo,Ezekiel,Fred,Kim na Tony Onditi. Kim na Fred wako jijini Dar es salaam,Tanzania baada ya kurejea miaka ya hivi karibuni kuendelea na maisha hapa bongo.Maelezo zaidi bofya hapa http://www.pilgrims.org.uk/


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.