MTANGAZAJI

MUZIKI WA INJILI KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO TANZANIA

CANAN BROTHERS
THE VOICE OF ANGLES

VOCAL PRAISE


THE HEROESHawa ni TRUMPH GENERATION
Wadau wa muziki wa injili katika kanisa la Waadventista wasabato nchini Tanzania wanaeleza ya kuwa tafiti zinaonesha kuwa vikundi vya uimbaji wa nyimbo za injili katika kanisa hilo vinaonekana kukua kwa kasi na kuwpata maendeleo kuliko kwaya hapo juu ni baadhi ya makundi yaliyoko jijini Dar es salaam,yalipokuwa yakiimba kwenye mkutano uliofanyika September mwaka huu

1 comment

Anonymous said...

sure, why not!

Mtazamo News . Powered by Blogger.