STUDIO YA KISASA NDANI YA MIGOMIGO,TANZANIA
Mmoja wa wadau wa johnson and sons music lab(jml productions) akionesha namna ya kupiga gitaa
JML PRODUCTION
Studio mpya ya johnson and sons music lab(jml productions) iliyopo maeneo ya magomeni mikumi inatoa huduma za kufundisha kupiga vinanda,kupiga magitaa, kufanya recording kwa solo artist,vikundi,kwaya pamoja na bendi,mpaka ninapokuletea habari hii msikilizaji wangu ni kwamba nimeshapata products za studio hii na natalaji kuzirusha hewani Morning Star 105.3 fm katika kipindi cha Lulu za Injili
Hii habari njema kwa wadau wa muziki hapa nchini Tanzania maana wanafundisha na kuproduce kazi zao.KAZI KWAKO!!!!!!!!
Post a Comment