MTANGAZAJI

VIDEO ZA MWINJILISTI MUKANGARA WA TANZANIA

Mwinjilisti Mukangara ni Mjumbe wa Mungu aishiye jijini Dar es Salaam,Tanzania atoaye Mafundisho ya Mungu aliye hai,hapa nchini na nje ya nchi yetu kwa njia ya Kuhubiri kwenye mikutano ya hadhara, makanisani pia kwa njia ya Radio. Mafundisho hayo sasa unaweza ukayapata yakiwa yamenakilishwa kwenye Tape au CD piga simu no. 0784 314629. Pia unaweza ukamsikiliza kila siku ya Ijumaa kwenye kipindi cha radio (LIVE) saa 1:00 usiku kwenye FM 105.3 Morning.
Waweza kubarikiwa na Mukangara ambaye ni mfanyabiashara na mhubiri wa kimataifa kwa kupata video yake kupitia mtandao akiwa nchini Marekani kwa kufuata maelekezo toka kwa mdau huyu aliyeko huko kwa Bush ambako Mukangara anatoa neno la Mungu:
Friends,
Please visit www.youtube.com. In the search box, type in Mukangara and then clickon the resultant videos to listen to Ev. Mukangara breaking the bread of life atKenya Community Church, Brooklyn Center, MN, where he is holding a series of evangelistic meetings this month. Thanks.
Michoma Douglass Moenga

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.