MTANGAZAJI

ALBAMU YA SONDA YA DILU


Wale vijana mahili wa kundi la nyimbo za injili toka Ukonga,jijini Dar es salaam wanaojulikana kwa jina la 'SONDA YA DILU"neno la kisukuma lenye maana ya "NYOTA YA ASUBUHI"wameshakamilisha albamu yao ya kwanza iliyorekodiwa katika studio ya kisasa ya Malaika iliyoko Morocco,Kinondoni.
Vijana hawa ambao wanaimba nyimbo zao nyingi kwa lugha za makabila mbalimbali ya Tanzania ambazo utazikia katika albamu yao hii ambayo wameipa jina la HUKUMU naamini watakupatia matumiani maishani mwako na hivyo nisingependa uzikose nyimbo zao.Nitaahidi kuwa nyimbo zao zitawabariki maelfu ya wasikilizaji wa AWR.

1 comment

ombui said...

yeah, ni albamu nzuri...na bwana Yesu asifiwe.....naomba nisikize

Mtazamo News . Powered by Blogger.