MTANGAZAJI

CHEMSHA BONGO

Kuna watu ambao MUNGU wetu amewabariki kuwa wabunifu katika kufanikisha kuufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa watu wengine,Hebu niambie hilo neno limeandikwa kutokana na neno la kwanza ambalo ni lipi? Kazi kwenu wasikilizaji wangu.

1 comment

Anonymous said...

Gari mpya toka Japan, aina ya Toyota, kwa jina LEXUS!
Geuza hiyo JESUS (ambaye kwa kila viwango yu BORA zaidi) utagundua LEXUS mwanangu - Mike Kuyenga

Mtazamo News . Powered by Blogger.