MTANGAZAJI

HABARI TOKA USA

Natumaini msikilizaji wangu u mzima kabisa na unakilasababu ya kumshukuru Muumbaji wetu kwa kutupatia muujiza wa uhai,leo ninakuletea habari njema toka USA

"I am in the USA and I have been searching for Ki-Swahili radio/audio/tv onthe internet and this time I came across your website. I am so glad.I really love the 221 Episode, those children are angels and they remind meof my childhood and home.Thank you for the website and for the feedback.I will spread the word.Thank you!"
Subi

Kwa upendeleo wa pekee napenda kumpongeza msikilizaji wetu na hivyo nampa zawadi ya pekee toka hapa Tanzania kwa kubofya hapa:
http://www.tu.adventist.org


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.