MTANGAZAJI

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO JIJINI NEW YORK NA VIONGOZI WA TAASISI ZA KIMATAIFARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Benki ya Dunia Bw. David Malpass, walipokutana katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani Sept 21,2021. 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) Bibi Ngozi Okonjo Iweala, walipokutana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 21,2021. Picha na Ikulu.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.