|
Waliokuwa waimbaji wa Ambassadors of Christ waliolala mauti Amosi,Philbert na Gatare Jim Ephraim |
|
Waimbaji wa Ambassadors wakiwa wamebeba jeneza |
|
Mke wa Gatare Jim Ephraim akilia |
|
Umati wa watu ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Remera wakati wa ibada ya mazishi |
|
Baba wa Gatare Jim Ephraim akizungumza |
|
Mama wa Gatare Jim Ephraim |
|
Ambassadors of Christ wakiimba kwenye ibada ya mazishi kanisani Remera | | |
|
Kiongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato nchini Rwanda (mwenyemiwani) alitoa maneno ya faraja |
Maneno ya mwisho yaliyosemwa na waliofariki, wakiwa safarini kurejea Kigali, Rwanda.
1. "KAZI NILIYOTAKIWA KUFANYA KATIKA KUNDI HILI, NIMEIMALIZA.IMEBAKI KWENU KUIENDELEZA-AMOSI PHARASE
2. "NYOTE MLIO KATIKA GARI HII, LAZIMA MJUE KILA MTU ANA JUKUMU LA KUONGOZA KUNDI HILI, HATA KAMA KESHO MIMI SITAKUWEPO.-GATARE JIM "
3. "DADA NAKUOMBA MSAMAHA, HATA KAMA WEWE NDO UMENIKOSEA, NAMI JINSI NILIVYOPOKEA, NAWEZA KUWA NIMEKUKOSEA PIA.-MANZI PHILBERT”
Maneno yaliyoamsha ari kwa gari zima kuombana msamaha, na haikupita dk 10, ajali ikatokea!
Post a Comment