Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
leo tarehe 19 Januari, 2021 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kiwanda cha
kusindika maziwa na vyakula vya mifugo cha Kahama Fresh Limited
kinachojengwa Kihanga Karagwe mkoani Kagera.
Post a Comment