MTANGAZAJI

MCH MARK MALEKANA ATOA UJUMBE KWA WAIMBAJI WA KIADVENTISTA TANZANIA (+VIDEO)Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Unioni ya Kusini mwa Tanzania (STUM) Mch Mchungaji Mark Walwa Malekana amewapongeza waimbaji wa Kiadventista nchini Tanzania huku akiwataka kujiunga na mafunzo ya muziki yanayotolewa na kwa ushirikiano wa Kanisa hilo na  Chuo Kikuu cha Bagamoyo mkoani Pwani ili kuleta tija ya maendeleo ya muziki katika kanisa hilo nchini humo.

Mchungaji Malekana ametoa pongezi hizo wakati wa uzinduzi rasmi wa Field ya Kati mwa Tanzania mjini Dodoma.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.