MTANGAZAJI

RAIS WA TANZANIA DKT MAGUFULI AKUTANA NA BILL GATES IKULU JIJINI DAR ES SALAAM,TANZANIA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation Bw. Bill Gates aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 10, 2017

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.