MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM:MWALIMU FELIX MAKACHAYO AZUNGUMZIA WIMBO WAKE MPYA WA TUFANYE KAZI



Mwalimu Felix Makachayo ambaye ni mtunzi,mwalimu na wa nyimbo za Injili ameeleza sababu za yeye kutunga wimbo wa kufanyakazi,Wimbo ulioimbwa na waimbaji wa Amani na Upendo ambao anawafundisha.

Video ya wimbo huo iliyofanywa na JCB Studioz ilifanywa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ikiwa ni miongoni mwa nyimbo tano ambazo zinagusia masuala ya kijamii nchini Tanzania.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.