PICHA:UWEKWAJI WAKFU WA SANTURI MWONEKANO YA SONDA YA DIHLU
![]() |
Sonda ya Dihlu waikiimba jukwaani |

![]() |
Friends of Jesus |
![]() |
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Heritage Wakiimba |
![]() | ||||||
Canaan Brothers nao walikuwepo |
![]() |
Vancuva ambaye ni Mtayarisha wa Studio za Hometown akizungumza jambo kwenye tukio hilo |
![]() |
Kutoka kulia ni Angel MagotI,Samweli Mwanzini na Dorine Katiba Achia toka Kenya |
Tukio hilo ambalo liliwahusisha wadau wa nyimbo za Injili wengi wakiwa ni vijana lilishuhudia waimbaji toka Tanzania na Kenya.
Post a Comment