ZABRON SINGERS WAKIWA NCHINI KENYA
Mwinjilisti Boniphace Ng'ang'a na Mch Richard Kariuki ambao walikuwa wahutubu kwenye Mkutano wa Injili katika picha ya pamoja na waimbaji wawili wa Zabron Singers |
Zabron Singers toka Kahama,Shinyanga nchini Tanzania wako Githunguri,Kiambu nchini Kenya ambako walishiriki kwenye mkutano wa Injili ambao umemalizika leo Agosti 6,2016 ambako wamebatizwa watu 27.
Zabron Singers wataendelea kuwepo Githunguri kwa muda wa juma lingine kwa kutoa huduma ya uimbaji katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato la Calvary
Post a Comment