MTANGAZAJI

THE LIGHT BEARERS WAENDELEA NA MKUTANO NA KUREKODI DVD YAO MPYA NCHINI UINGEREZA

 
 

 

Waimbaji wa The Light Bearers toka jijini Dar es salaam Tanzania wameendelea kuhudumu kwenye mkutano wa Injili ulioanza jumatano ya juma hili na unaofanyika Reading,Uingereza huku pia wakiendelea na zoezi zima la kurekodi santuri yao mwonekano namba nne.

Tayali Mtayarishaji wa Video hiyo ambaye anaishi nchini humo Tegemea Champanda amesambaza kwenye mitandao ya kijamii miongoni mwa nyimbo mpya za waimbaji hao ambao shooting yake imefanyika jijini London ambapo kufikia hii leo Agosti 12 jumla ya watu 1,006 wamekisha utazama kupitia mtandao wa Youtube.

Hii hapa ni taarifa ya Kiongozi wa The Light Bearers alivyokaririwa na Morning Star Radio katika kipindi cha Lulu za Injili ambapo huzungumzia masuala mbalimbali ya uimbaji.

1 comment

magugu said...

mbona hakuna sehemu ya kudownload kwenye hii player

Mtazamo News . Powered by Blogger.