MTANGAZAJI

AUDIO:RIPOTI KAMILI KUHUSU TAMASHA LA KESHO LITAKALOKUWA NA WAIMBAJI WA LIGHTBEARERS JIJINI NAIROBI IKO HAPA


Kutakapofanyika Tamasha

LightBearers walipoimba leo hapo Lovington

Kama uko jijini Nairobi usikose kufika kesho saa 8 mchana katika Kanisa la Lovington ambapo kutakuwa na tamasha la Uimbaji ambalo litahudhuriwa na waimbaji mbalimbali toka nchini Kenya na LightBearers toka Dar es salaam Tanzania.
Sikiliza taarifa ya Dr Peter Mabula aliyeko jijini Nairobi kuhusu Tamasha hilo.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.